KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA DARAJA JIPYA LA SELANDER NA BANDARI YA DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 17 March 2021

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA DARAJA JIPYA LA SELANDER NA BANDARI YA DAR ES SALAAM

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso (kulia) akiwa na wajumbe wa kamati hiyo, akizungumza mara baada ya kupokea taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa wa Daraja Jipya la Selander  jijini Dar es Salaam ambalo ujenzi wake unaendelea. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale.

Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu (kushoto) wakipata maelezo toka kwa wataalam wa daraja hilo. 


Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu (kushoto) wakipata maelezo toka kwa wataalam wa daraja hilo. 


Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu (kushoto) wakipata maelezo toka kwa wataalam wa daraja hilo. 


Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu (kushoto) wakiangalia hatua mbalimbali za ujenzi wa daraja hilo. 


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso (mbele) akiwaongoza wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu walipotembelea ujenzi wa daraja hilo. 


Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika ziara yao kwenye Daraja Jipya la Selander  jijini Dar es Salaam ambalo ujenzi wake unaendelea. 


Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi, Godfrey Kasekenya (katikati) akitoa maelezo mafupi kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu walipotembelea Bandari Kuu ya Dar es Salaam kuangalia miradi mbalimbali ya utanuzi wa bandari hiyo. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso akifuatilia.


Miradi ya utanuzi na uboreshaji wa bandari hiyo kisasa ikiendelea.


Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi, Godfrey Kasekenya na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso (mbele) wakiwaongoza wajumbe wa kamati kutembelea Kituo cha kupimia mafuta, maarufu kama 'flow meter' walipofanya ziara bandari ya Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Elihuruma Lema (katikati) akitoa maelezo kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika Kituo cha kupimia mafuta, maarufu kama 'flow meter' walipofanya ziara bandari ya Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment