Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akikabidhi kompyuta mpakato kwa Meneja Mkaazi Zanzibar wakati wa kufunga kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma, kulia Postamasta Mkuu Hassan Mwang’ombe.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, akifunga kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma, kulia ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) wa pili kushoto ni Katibu Mku wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula akifuatiwa na Naibu wake Dkt. Jim Yonazi (kushoto) na Postamasta Mkuu Hassan Mwang’ombe wa pili kulia.
No comments:
Post a Comment