TMA YATOA WARSHA KWA WANAHABARI KUHUSU UTABIRI WA MVUA ZA MASIKA, 2021 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 17 February 2021

TMA YATOA WARSHA KWA WANAHABARI KUHUSU UTABIRI WA MVUA ZA MASIKA, 2021

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a akifunga rasmi warsha kwa wanahabari kuhusu Utabiri wa Mvua za Masika, 2021 iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi za TMA, Ubungo jijini Dar es Salaam.

                                       

Mkurugenzi Huduma za Utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Hamza Kabelwa (kushoto) akifafanua jambo kwa wanahabari kwenye warsha ya wanahabari kuwajengea uwezo juu ya Utabiri wa Mvua za Masika, 2021 iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi za TMA, Ubungo jijini Dar es Salaam.


Ofisa Uhusiano wa TMA, Bi. Monica Mutoni (kushoto) akizungumza na wanahabari kwenye warsha hiyo.


Sehemu ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia mada anuai kwenye warsha kwa wanahabari kuhusu Utabiri wa Mvua za Masika, 2021 iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi za TMA, Ubungo jijini Dar es Salaam.


Sehemu ya washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia mada mbalimbali ndani ya Ukumbi wa Ofisi za TMA, Ubungo jijini Dar es Salaam.


Mtaalam wa Hali ya Hewa toka TMA akiwasilisha mada kwa wanahabari. 

No comments:

Post a Comment