![]() |
Mh. Maalim Seif. |
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sheriff Hamad (76) amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais wa Tanzania, Ikulu, imetuma salamu za pole kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, familia ya Maalim, Wazanzibari, ACT Wazalendo pamoja na ndugu jamaa na marafiki walioguswa na msiba huo.
Taarifa kamili ya Rais wa Tanzania hii hapa;-
No comments:
Post a Comment