MWANRI NA DK MOLLEL WAAHIDI KUSHIRIKIANA KUIPATIA CCM USHINDI, SIHA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 9 September 2020

MWANRI NA DK MOLLEL WAAHIDI KUSHIRIKIANA KUIPATIA CCM USHINDI, SIHA

Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Aggrey Mwanri (kulia) akimnadi Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel baada ya wanasiasa hao kukubaliana kushirikiana katika mkutano wa kampeni uliohubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kijiji cha Matado wilayani humo, Septemba 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Naibu Waziri na Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Aggrey Mwanri na  mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Siha ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel wametamka hadharani kuwa  watashirkiana katika kampeni ili kuhakikisha kwamba CCM inapata ushindi mnono katika jimbo hilo. Pichani, Mwanri (kulia) akimnadi Dkt. Mollel  badda wanasiasa hao kutamka hayo katika mkutano wa kampeni uliohubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kijiji cha Matado wilayani humo, Septemba 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment