MAJALIWA AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI ZA CCM HAI NA SIHA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 9 September 2020

MAJALIWA AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI ZA CCM HAI NA SIHA

Wananchi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa kampeni, Kwasadala wilayani Hai, Septemba 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza katika mkutano wa kampeni kwenye, Kwasadala wilayani Hai, Septemba 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Wananchi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa kampeni, Kwasadala wilayani Hai, Septemba 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Makidi wilayani Siha, Septemba 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment