MSHAMBULIAJI MBWANA SAMATTA KUIKIMBIA ASTON VILLA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 10 September 2020

MSHAMBULIAJI MBWANA SAMATTA KUIKIMBIA ASTON VILLA

 

Mshambuliaji wa Aston Villa na Tanzania Mbwana Samatta huenda akaondoka katika klabu hiyo licha ya kujiunga nayo mwezi Januari. Mkufunzi wa klabu hiyo Dean Smith anataka kukifanyia mabadiliko kikosi chake kabla ya dirisha la uhamisho kufungwa. -Mail Online

No comments:

Post a Comment