MGOMBEA MWENZA CCM NA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHUTUBIA JIMBO LA MTWARA MJINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 10 September 2020

MGOMBEA MWENZA CCM NA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHUTUBIA JIMBO LA MTWARA MJINI

 

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini Mkoani Mtwara Septemba 10,2020 uliohutubiwa na Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini  katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini Mkoani Mtwara Septemba 10,2020.

No comments:

Post a Comment