MGOMBEA URAIS CCM RAIS DK MAGUFULI AUNGURUMA MKOANI SIMIYU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 5 September 2020

MGOMBEA URAIS CCM RAIS DK MAGUFULI AUNGURUMA MKOANI SIMIYU

Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipowahutubia katika Mkutano wake wa hadhara wa kampeni mjini Bariadi mkoa wa Simiyu  Septemba 4, 2020.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa jukwaa kuu na vijana wenye ulemavu wa ngozi waliohudhuria Mkutano wake wa hadhara wa kampeni mjini Bariadi mkoa wa Simiyu  Ijumaa Septemba 4, 2020.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa  Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akicheza jukwaani na vijana wenye ulemavu wa ngozi wakati wa Mkutano wake wa hadhara wa kampeni mjini Bariadi Mkoa wa Simiyu  Ijumaa Septemba 4, 2020.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Mkutano wake wa hadhara wa kampeni mjini Bariadi mkoa wa Simiyu  leo Ijumaa Septemba 4, 2020.

Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipowahutubia katika Mkutano wake wa hadhara wa kampeni mjini Bariadi mkoa wa Simiyu  Septemba 4, 2020.

No comments:

Post a Comment