MGOMBEA URAIS CCM RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA LAMADI NA BUNDA MKOANI MARA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 5 September 2020

MGOMBEA URAIS CCM RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA LAMADI NA BUNDA MKOANI MARA

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Bunda mjini mkoani Mara katika Mikutano ya Kampeni ya CCM wakati akitokea Bariadi mkoani Simiyu.

Sehemu ya Wananchi wa Bunda waliofika kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo hilo la Bunda mjini mkoani Mara.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Lamadi wakati akitokea Bariadi mkoani Simiyu.

Sehemu ya Wananchi wa Bunda waliofika kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo hilo la Bunda mjini mkoani Mara.

Sehemu ya Wananchi wa Bunda waliofika kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo hilo la Bunda mjini mkoani Mara.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Bunda mjini mkoani Mara katika Mikutano ya Kampeni ya CCM wakati akitokea Bariadi mkoani Simiyu.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Bunda mjini mkoani Mara katika Mikutano ya Kampeni ya CCM wakati akitokea Bariadi mkoani Simiyu.

No comments:

Post a Comment