MGOMBEA URAIS CCM, DK MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI SENGEREMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 9 September 2020

MGOMBEA URAIS CCM, DK MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI SENGEREMA

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Sengerema katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya mnadani Sengerema mkoani Mwanza tarehe 8 Septemba, 2020.

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Usagara na Misungwi mkoani Mwanza wakataki akielekea Sengerema kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za CCM tarehe 8 Septemba, 2020.

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Sengerema katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya mnadani Sengerema mkoani Mwanza tarehe 8 Septemba, 2020.

Sehemu ya Wananchi wa Sengerema waliohudhuria mkutano wa Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika katika viwanja vya mnadani Sengerema mkoani Mwanza.

No comments:

Post a Comment