Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi katika viwanja vya Mazaina mjini Chato mkoa wa Geita baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020.

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejawa furaha na bashasha akiondoka katika viwanja vya Mazaina mjini Chato mkoa wa Geita baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020.

No comments:
Post a Comment