TAMNOA WASHIRIKI WARSHA KUJADILI MBINU ZA KUDHIBITI UTAPELI KWA NJIA ZA SIMU ZA MKONONI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 15 September 2020

TAMNOA WASHIRIKI WARSHA KUJADILI MBINU ZA KUDHIBITI UTAPELI KWA NJIA ZA SIMU ZA MKONONI


Katika warsha hiyo iliyoandaliwa na GSMA, kupitia mtandao au webinar, wawakilishi kutoka makampuni ya simu waliweza kuchangia mada mbali mbali.

 Kutoka Tigo alikuwepo Nkata Kagoma, wengi walikubaliana kwamba utapeli ni tatizo kubwa barani Afrika, na wateja wanahitaji kupata elimu kuhusu tahadhari mbali mbali wanazo weza kutumia kuzuia utapeli kwa njia za simu za mkononi.pia wengi walikubaliana kuwa teknolojia ya dijitali inaweza ikasaidia kutatua matatizo mbalimbali ya kiuchumi na kijamii katika jamii ikiwa itapewa msukumo wa aina yake.

No comments:

Post a Comment