MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI - TARAFA YA ILONGERO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 15 September 2020

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI - TARAFA YA ILONGERO

 

Wananchi wa Kata ya Ilongero, wakimshangilia  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Ilongero, mkoani Singida, Septemba 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwahutubia wananchi wa Kata ya Ilongero, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Ilongero, mkoani Singida, Septemba 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa mkono, aliyekua Mwenyekiti wa CHADEMA Singida Kaskazini, Frank Petro, baada ya kuhamia rasmi Chama cha Mapinduzi, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Ilongero, mkoani Singida, Septemba 15, 2020. Kutoka kulia ni mdogo wa Frank, Daniel Petro na Mke wa Frank, Bitrina Ibrahim. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment