MARIN HASSAN WA TBC AFARIKI DUNIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 1 April 2020

MARIN HASSAN WA TBC AFARIKI DUNIA

Marehemu Marin Hassan enzi za uhai 

Nguli wa habari nchini Tanzania Marin Hassan Marin amefariki dunia leo Aprili 1, 2020 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Martha Swai.

No comments:

Post a Comment