Mbwana Samatta. |
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison
G. Mwakyembe (Mb) amempongeza nahodha na mchezaji wa Timu ya Tanzania (Taifa
Stars) Mbwana Samatta kwa kufanikiwa kujiunga na timu ya soka ya Aston
Vitta inayoshiriki Ligi Kuu nchini Uingereza (EPL) na kuwa Mtanzania wa kwanza
kuchezea Ligi Kuu nchini humo.
"Serikati na
Watanzania wote tunajivunia mafanikio ya kijana wetu Samatta katika soka,
kuingia kwake kwenye tigi kuu nchini Uingereza kumefungua mitango kwa vijana wengi
wa Kitanzania kwenda kucheza soka [a kutipwa katika nchi mbatimbati duniani,
hakika ameonyesha uzatendo mkubwa kwa nchi yetu" amesema Dkt. Mwakyembe.
Kabta ya kujiunga na ktabu ya Aston Vitta Mbwana Samatta
atikuwa akichezea ktabu ya KRC Genk ya nchini Ubetgiji na atiiwezesha ktabu
hiyo kushinda taji ta tigi ya Ubetgiji mwaka 2019 pamoja na kufuzu michuano ya
Utaya.
Mbwana Samatta atimatiza msimu huo akiwa mfungaji bora wa
tigi ya Ubetgiji na akashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa tigi ya Ubetgiji.
lmetotewa na Eteuteri Mangi Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasitiano Serikatini
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
No comments:
Post a Comment