JAJI MKUU MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA, JPM AMLILIA...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 28 April 2020

JAJI MKUU MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA, JPM AMLILIA...!

Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Augustino Ramadhani.

JAJI Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Augustino Ramadhani amefariki dunia leo saa mbili asubuhi katika Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. Taarifa iliyolewa na mtandao wa kijamii wa 'Tanzania Judiciary' umeeleza; Jaji Mkuu huyo mstaafu wa Tanzania amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Chanzo;- https://t.co/S4Ek8v7xrO https://twitter.com/judiciarytz/status/1255015209074376705?s=20

Wakati huo huo Rais wa Tanzania ametoa salaam za rambirambi baada ya kifo hicho, taarifa zaidi chini;-

No comments:

Post a Comment