RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MSIKITI WA ISTIQAAMA BOMANI MJINI SUMBAWANGA, AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA NELSON MANDELA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Monday, 7 October 2019

demo-image

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MSIKITI WA ISTIQAAMA BOMANI MJINI SUMBAWANGA, AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA NELSON MANDELA

m2+%25281%2529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dit. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa  Shehe Rashidi Akilimali kabla ya kuufungua msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019.

m3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa  Shehe Rashidi Akilimali na viongozi wengine akikata utepe kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama
Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019.

m5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa  Shehe Rashidi Akilimali na viongozi wengine wakiitikia dua inayoongozwa na msaidizi wa Rais Alhaj
Ali Masella baada ya kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019.

m6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi mchango wa shillingi milioni tano kwa asili ya kukamilishia vifaa vya kuswalia kama vile mazulia Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa  Shehe Rashidi Akilimali akishuhuduiwa na viongozi wengine baada ya kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019.

m8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Nelson Mandela  Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo Jumatatu Oktoba 7, 2019.

m14
Umati wa wananchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowatuhutubia katika Uwanja wa Nelson Mandela  Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo Jumatatu
Oktoba 7, 2019. PICHA NA IKULU.

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *