MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MWANACHUO WA IFM, LEON FRANCIS LWANGA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Thursday, 20 September 2018

demo-image

MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MWANACHUO WA IFM, LEON FRANCIS LWANGA



1
Marehemu Leon Francis Lwanga enzi za uhai wake. Marehemu Leon alizaliwa Septemba 10, 1993 na amefariki dunia Septemba 18,2018.


2
 Wanafunzi wenzake na marehemu Leon Lwanga wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wake katika makaburi ya Kinondoni wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo hii.
IMG_0001
 Shangazi wa marehemu Mariagoreth akitoa heshima za mwisho kwa marehemu.

IMG_0004
 Wadogo zake na marehemu wakitoa heshima za mwisho.
IMG_0006
 Baba wa marehemu Andrew Francis Lwanga (katikati), akitoa heshima za mwisho.
IMG_0008
 Heshima za mwisho zikiendelea kutolewa.
IMG_0009

IMG_0015
 Baba wa marehemu akitoa historia ya mwanae wakati wa ibada ya kuaga mwili wa mtoto wake iliyofanyika Kanisa la Katoloki Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
IMG_0018
 Ibada ikiendelea.
IMG_0022

IMG_0024

IMG_0025

IMG_0027

IMG_0030
 Ni huzuni tupu katika ibada hiyo.
IMG_0031

IMG_0033
 Shukurani za rambirambi zikitolewa.
IMG_0034
 Padri aliyeongoza ibada hiyo akinyunyuzia mafuta ya baraka katika jeneza lenye mwili wa marehemu.
IMG_0035
 Heshima zikiendelea kutolewa.
IMG_0038

IMG_0043
 Baba wa marehemu akitoa heshima za mwisho.
IMG_0056
 Gari maalumu likiwa tayari kwa kuondoka na mwili wa marehemu kuelekea makaburi ya Kinondoni.
IMG_0057
 Waombolezaji wakiwa nje ya Kanisa Katoliki la Hospitaali ya Taifa ya Muhimbili ilipofanyika ibada ya kumuaga marehemu.
IMG_0059

IMG_0063
 Ndugu wakijadiliana baada ya kutoka kwenye ibada hiyo.
IMG_0068
 Ndugu wakitafakari jambo baada ya ibada hiyo.
IMG_0078
 Nyumba ya milele ya Leon Lwanga.
IMG_0082
 Wanafunzi wenzake na marehemu Leon Lwanga wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wake katika makaburi ya Kinondoni wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo hii.
IMG_0093
 Jeneza likishushwa kaburini.
IMG_0096

IMG_0103
 Katekista akiweka udongo kaburini.
IMG_0104
 Baba wa marehemu akiweka udongo kaburini.
IMG_0105

IMG_0107
 Baba mdogo wa marehemu Rahym akiweka udongo kaburini.
IMG_0110

IMG_0112

IMG_0114

IMG_0123
 Baba akisimika msalaba katika kaburi la mtoto wake.
IMG_0127

IMG_0128
 Baba zake marehemu wakiweka shada katika msalaba.
IMG_0129

IMG_0131
 mashada ya maua yakiwekwa.
IMG_0132
 Babu na bibi yake marehemu wakiweka shada la maua.
IMG_0133
 wanafunzi wenzake na marehemu wakiweka maua kwenye kaburi la mwenzao Leon Lwanga.
IMG_0140
 Ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya kaburi la marehemu.
IMG_0148

IMG_0151

IMG_0153


IMG_0157
Baba mdogo wa marehemu Rahym akiwa na kaka yake Andrew baada ya mazishi ya mtoto wao.
Halotel+Mpango+Mzima

1 comment:

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *