Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akinunua samaki na kuwahifadhi katika kikapu chake cha kiasili wakati alipokuwa matembezini katika maeneo hayo ya Ferry.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amebeba samaki wake kwa kutumia Kikapu mara baada ya kuwanunua katika Soko la Samaki la Ferry jijini Dar es Salaam.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Samaki mbalimbali katika Soko la Ferry mara baada ya kufika eneo hilo.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika matembezi ya jioni katika maeneo ya Soko la Samaki la Ferry jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment