![]() |
| Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akiwa amekaa kwenye kiti wakati Ibada ya kusimikwa kwake ikiendelea katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. |
![]() |
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu
Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akiwa ameketi
kwenye Kiti cha Uaskofu pamoja na Maaskofu wengine wa Kanisa Katoliki nchini.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi sadaka mbele ya altare mara baada ya kukusanya kwa waumini.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akikabidhi sadaka mbele ya altare mara baada ya kukusanya kwa waumini.
|











No comments:
Post a Comment