KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, AFUNGA KIKAO KAZI CHA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS NA MAAFISA HABARI WA SERIKALI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 18 December 2025

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, AFUNGA KIKAO KAZI CHA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS NA MAAFISA HABARI WA SERIKALI

 

Mkurugenzi wa Pioneer Communications Salva Rweyemamu akizungumzia mada yake ya Utayari wa Mawasiliano wakati wa migogoro na majanga katika Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali kilichofanyika katika Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Desemba, 2025.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu Gerson Msigwa akizungumza kwenye Kikao cha Maafisa Habari na Maafisa Mawasiliano kutoka Wizara, Halmashauri pamoja na Taasisi mbalimbali za Serikali pamoja na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais katika Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Desemba, 2025.

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw. Bakari Machumu akiwa kwenye majadiliano kuhusu  ukusanyaji maoni na mwelekeo wa Kurugenzi ya Mawasiliano katika Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali kilichofanyika katika Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Desemba, 2025.



Maafisa Habari na Maafisa Mawasiliano kutoka Wizara, Halmashauri pamoja na Taasisi mbalimbali za Serikali wakichangia mada mbalimbali zilizowasilishwa kwenye Kikao baina yao na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais katika Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Desemba, 2025.

No comments:

Post a Comment