RAIS DK MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO MAPYA CHUO CHA UALIMU MPUGUSO WILAYANI RUNGWE, AZUNGUMZA NA WANANCHI TUKUYU MKOANI MBEYA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 30 April 2019

RAIS DK MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO MAPYA CHUO CHA UALIMU MPUGUSO WILAYANI RUNGWE, AZUNGUMZA NA WANANCHI TUKUYU MKOANI MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na viongozi wengine kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Mpuguso Rungwe mkoani Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Rungwe hawaonekani pichani wakati akielekea Chuo cha Ualimu Mpuguso kilichopo Rungwe mkoani Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiimba pamoja na wananchi waliokusanyika katika viwanja vya chuo cha Ualimu Mpuguso mara baada ya kuwasili chuoni hapo.

Wananchi wa Rungwe mkoani Mbeya wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposimama kuwasalimia kabla ya kwenda Chuo cha Ualimu Mpuguso. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment