RAIS DK MAGUFULI PAMOJA NA RAIS WA KENYA KENYATTA WAFUNGUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA PAMOJA, NAMANGA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 1 December 2018

RAIS DK MAGUFULI PAMOJA NA RAIS WA KENYA KENYATTA WAFUNGUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA PAMOJA, NAMANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na  Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani Namanga One Stop Border Post (OSBP) upande wa Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi funguo Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kufungua Kituo cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani Namanga One Stop Border Post (OSBP) upande wa Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na watoto wawili kutoka Kenya waliofika kumpokea katika kituo cha kutoa huduma kwa pamoja kwa upande wa Kenya.

Baadhi ya Wananchi wa Kenya na Tanzania waliohudhuria katika hafla ya ufunguzi wa Vituo hivyo Mpakani Namanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na   Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakielekea upande wa mpaka wa Tanzania mara baada ya ufunguzi wa kituo cha kutoa huduma kwa pamoja kwa upande wa Kenya.

No comments:

Post a Comment