Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya Vitabu kutoka
kwa Balozi wa China hapa nchini Wang Ke kabla ya ufunguzi wa Maktaba hiyo.
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika hafla hiyo ya
ufunguzi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
|
Baadhi ya
Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao
wakifatilia kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli kabla ya kuifungua rasmi.
|
No comments:
Post a Comment