MBUNGE WA USHETU ATOA VITANDA 22 SEKONDARI YA BULUNGWA, KAHAMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 29 November 2018

MBUNGE WA USHETU ATOA VITANDA 22 SEKONDARI YA BULUNGWA, KAHAMA

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Bulungwa Wilayani Kahama wakifurahia baada ya kukabidhiwa vitanda 22 toka kwa Mbunge wao wa Ushetu ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias John Kwandikwa. Vitanda hivyo vitawawezesha wanafunzi wa kike kukaa bweni na kuwasaidia kusomea katika mazingira rafiki. 

Sehemu ya vitanda 22 vilivyotolewa na Mbunge wa Ushetu, Kwandikwa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Vitanda hivyo vitawawezesha wanafunzi wa kike kukaa bweni na kuwasaidia kusomea katika mazingira rafiki.

1 comment:

  1. Hongera mbunge wa ushetu na naibu waziri wa kilimo hongera unayoyafanya ni makubwa Sana hakika unamoyo wa kusaidia wananchi wako kwani najua kutoa ni moyo sio utajiri

    ReplyDelete