NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKAGUA UJENZI DARAJA DOGO BARABARA YA SHINYANGA –BUBIKI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 30 November 2018

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKAGUA UJENZI DARAJA DOGO BARABARA YA SHINYANGA –BUBIKI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias John Kwandikwa (kushoto), akikagua ujenzi wa daraja dogo katika barabara ya Shinyanga –Bubiki.

Kaimu Meneja wa TANROADS Mhandisi Mibara Ndirimbi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu ujenzi wa kimkakati wa madaraja katika barabara za Salawe- Old Shinyanga na Kahama- Solwa ili kudhibiti mafuriko wakati wa mvua (kulia) ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias John Kwandikwa.

Muonekano wa moja ya barabara zinazojengwa kwa kiwango cha lami katika Wilaya ya Kahama, barabara hizo zinatarajiwa kuwa na mifereji ya kuondosha maji katikati ya mji ili kuepuka mafuriko.



No comments:

Post a Comment