MBUNGE WA USHETU AKAGUA MAENDELEO YA ELIMU JIMBONI KWAKE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 30 November 2018

MBUNGE WA USHETU AKAGUA MAENDELEO YA ELIMU JIMBONI KWAKE

Mbunge wa Ushetu ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias John Kwandikwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Iponyanholo mara baada ya kukagua ujenzi wa choo kipya cha kisasa kilichojengwa shuleni hapo.

Katika ziara hiyo jana mbunge huyo alikabidhi vitanda 22 toka katika Shule ya Sekondari ya Bulungwa Wilayani Kahama.

No comments:

Post a Comment