KIKAO CHA MAANDALIZI YA UNUNUZI KOROSHO...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 12 November 2018

KIKAO CHA MAANDALIZI YA UNUNUZI KOROSHO...!

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, baadhi ya watendaji wa Serikali na Wakurugenzi wa mabenki na CBT jijini Dodoma Novemba 10.2018, kujadili maandalizi ya ununuzi wa korosho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment