RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI BENKI YA DUNIA BI. BELLA BILD - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 9 October 2018

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI BENKI YA DUNIA BI. BELLA BILD

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini B. Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo  na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini B. Bella Bird na ujumbe wake walipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2018


No comments:

Post a Comment