WAHARIRI WASHIRIKI MDAHALO KUPINGA UKEKETAJI, MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 9 October 2018

WAHARIRI WASHIRIKI MDAHALO KUPINGA UKEKETAJI, MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile (wa tatu kulia) akizungumza alipokuwa akifungua mdahalo wa siku ya kwanza uliowashirikisha wahariri toka vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau watetezi wa masuala ya watoto jijini Dar es Salaam.  

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk John Jingu (katikati) akizungumza kwenye mdahalo wa siku ya kwanza uliowashirikisha wahariri toka vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau watetezi wa masuala ya watoto jijini Dar es Salaam.  

Mada mbalimbali zikiwasilishwa kwenye mdahalo uliojadili vitendo vya ukeketaji, mimba na ndoa za utotoni na kushirikisha wahariri toka vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau watetezi wa masuala ya watoto jijini Dar es Salaam.  

Baadhi ya washiriki kwenye mdahalo uliojadili vitendo vya ukeketaji, mimba na ndoa za utotoni wakichangia mada katika mdahalo huo.

Baadhi ya washiriki kwenye mdahalo uliojadili vitendo vya ukeketaji, mimba na ndoa za utotoni wakichangia mada katika mdahalo huo.

Baadhi ya washiriki kwenye mdahalo uliojadili vitendo vya ukeketaji, mimba na ndoa za utotoni wakichangia mada katika mdahalo huo.

Picha anuai za kumbukumbu zikipigwa mara baada ya mdahalo uliojadili vitendo vya ukeketaji, mimba na ndoa za utotoni na kushirikisha wahariri toka vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau watetezi wa masuala ya watoto jijini Dar es Salaam. Mdahalo huo ulitoka na maadhimio ya kufanyiwa kazi kwa ushirikiano na wadau wote kupinga vitendo hivyo.

No comments:

Post a Comment