Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi, akizungumza jijini Dar es Salaam leo, wakati akiwakaribisha waandishi wa habari katika mkutano ambao Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (hayupo pichani), alielezea masuala mbalimbali ya shirika katika kujiimarisha kimataifa, ambayo waliyatoa katika mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Mashirika ya Posta duniani (UPU), uliofanyika Adis Ababa, Ethiopia, hivi karibuni. Kulia ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe na kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Rasilimali za Shirika Macrice Mbodo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (kulia), akielezea masuala mbalimbali ya shirika hilo, katika kujiimarisha kimataifa, ambayo waliyatoa katika mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Mashirika ya Posta duniani (UPU). Wa pili kulia ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe na kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Rasilimali za Shirika Macrice Mbodo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (kulia), akifafanua jambo katika mkutano huo, na waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa shirika hilo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (hayupo pichani), wakati akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, katika mkutano huo, leo, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (kulia), akisisitiza jambo katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa shirika hilo, wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa kwa waandishi wa habari na Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo leo, jijini Dar es Salaam.
Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mipango ya kujizatiti kimataifa kwa shirika lake hilo.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa shirika hilo, wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa huo, leo ijini Dar es Salaam.
Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Pia Mwenyekiti wa Bodi kabla ya mkutano huo alizungumza na wafanyakazi wa shirika hilo, jijini Dar es Salaam jana, ambapo, aliwaelezea yaliyojiri katika mkutano huo wa kimataifa wa Umoja wa Mashirika ya Posta duniani (UPU).
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wakimsikiliza Mwenyekiti wao wa bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo, alipozungumza nao.
TGNP Yaendesha Mafunzo ya Uongozi kwa Wanafunzi wa Kike kutoka Vyuo Vikuu
13 Nchini
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), kupitia jukwaa la Young Feminist Forum,
wameendesha mafunzo kwa wanafunzi wa kike kuto...
53 minutes ago
No comments:
Post a Comment