MAJALIWA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MEYA WA SHENZHEN NCHINI CHINA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 5 September 2018

MAJALIWA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MEYA WA SHENZHEN NCHINI CHINA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meya wa Manispaa ya Shenzhen kwenye hoteli ya Wuzhou nchini China, Septemba 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa piano ya Kichina na msan , Xing Man baada ya mazungumzo kati yake na Meya wa Manispaa ya Shenzhen nchini China. Bw. Wang Wanzhong, Septemba 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment