RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 5 September 2018

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Musoma mjini (hawaonekani pichani) katika viwanja vya Mukendo Musoma mkoani Mara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Musoma mjini (hawaonekani pichani) katika viwanja vya Mukendo Musoma mkoani Mara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi wa Musoma waliokusanyika katika viwanja vya Mukendo vilivyopo Musoma mjini kwa ajili ya kumsikiliza mara baada ya kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.

Sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo uliofanyika Musoma mjini katika viwanja vya Mukendo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwelwe wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya kutoka Mpakani mwa Simiyu/Mara na Musoma km 85.5.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa, mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa AFD, Stephanie Mouen (wakanza kulia) wakivuta utepe kuashiria  ufunguzi wa mradi wa maji safi na usafi wa mazingira katika Manispaa ya Musoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia dawati ambalo alikuwa akilitumia kujisomea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Shule ya Msingi Mwisenge Musoma. Hayati Mwalimu Nyerere alisoma  shule hapo elimu ya Msingi tarehe 20/4/ 1934 hadi 1/10/1936

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika bweni alilokuwa akilala Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Shule ya Msingi Mwisenge Musoma. Hayati Mwalimu Nyerere alisoma  shule hapo elimu ya Msingi kuanzia tarehe 20/4/ 1934 hadi 1/10/1936. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment