RAIS DK MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI BUNDA AKIWA NJIANI KUELEKEA MUSOMA, MARA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 5 September 2018

RAIS DK MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI BUNDA AKIWA NJIANI KUELEKEA MUSOMA, MARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Bunda mjini wakati akiwa njiani kuelekea Musoma mkoani Mara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Bunda mjini wakati akiwa njiani kuelekea Musoma mkoani Mara.

Wananchi wa Wilaya ya Bunda mjini wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Bunda mjini wakati akiwa njiani kuelekea Musoma mkoani Mara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi kwa njia ya Simu kuhusu mgogoro wa ardhi uliopelekea Bibi Nyasasi Masige mwenye kilemba aliyekaa kudai  kunyang’anywa Kiwanja chake Wilayani Bunda. 

No comments:

Post a Comment