TMA YATOA SEMINA KWA WANAHABARI JUU YA TAARIFA ZA HALI YA HEWA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 5 September 2018

TMA YATOA SEMINA KWA WANAHABARI JUU YA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi akizungumza wakati akifungua semina kwa waandishi wa habari juu ya umuhimu wa wanaahabari kufahamu undani wa taarifa za utabiri wa hali ya hewa. Kulia ni Dk. Hamza Kaberwa, Mkurugenzi wa Utabiri TMA na kushoto ni Hellen Msemo Meneja Huendeshaji vituo wa TMA.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi akizungumza wakati akifungua semina kwa waandishi wa habari juu ya umuhimu wa wanaahabari kufahamu undani wa taarifa za utabiri wa hali ya hewa.

Sehemu ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Salaam wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuwanoa wanahabari juu ya taarifa za utaabiri wa hali ya hewa.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi akizungumza na washiriki wa semina hiyo kwa wanahabari iliyoandaliwa na TMA.

Mmoja wa wanahabari (kulia) akiuliza swali mara baada ya uwasilishwaji mada toka kwa wataalamu wa TMA.

Meneja Uendeshaji Vituo vya TMA, Hellen Msemo akizungumza katika semina hiyo. Kulia ni Dk. Agness Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa TMA.

Kaimu Mkurugenzi wa Utabiri, Samwel Mbuya (kulia) akifafanua jambo katika semina hiyo.

Mmoja wa maofisa wa TMA akifafanua jambo katika semina hiyo kwa wanahabari.

No comments:

Post a Comment