NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA UJUMBE WA BODI YA AFDB JIJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 28 August 2018

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA UJUMBE WA BODI YA AFDB JIJINI DODOMA

Naibu  Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa, akifafanua jambo kwa Ujumbe wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), uliofika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma, leo, kupata taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi inayofadhiliwa na Benki hiyo. 

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Steven Dowd, akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa na viongozi wa Wizara ambao wamekutana katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma, leo, kupata taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi inayofadhiliwa na Benki hiyo.

No comments:

Post a Comment