SIMBA WAKILA ‘BATA’ NCHINI UTURUKI….? - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 23 July 2018

SIMBA WAKILA ‘BATA’ NCHINI UTURUKI….?

Baadhi ya wachezaji wa Simba wakipata chakula cha usiku nchini Uturuki, ambako klabu ya Simba imeweka kambi kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara pamoja na michuano ya kimataifa.

Benchi la ufundi likiwasili Uturuki, likiongozwa na Kocha Msaidizi,  Masoud Djuma.

No comments:

Post a Comment