𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐃𝐊𝐓. 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐊𝐈𝐋𝐄𝐋𝐄 𝐂𝐇𝐀 𝐓𝐀𝐌𝐀𝐒𝐇𝐀 𝐋𝐀 𝐊𝐈𝐙𝐈𝐌𝐊𝐀𝐙𝐈, 𝐌𝐀𝐊𝐔𝐍𝐃𝐔𝐂𝐇𝐈, 𝐙𝐀𝐍𝐙𝐈𝐁𝐀𝐑 - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 15 August 2026

𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐃𝐊𝐓. 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐊𝐈𝐋𝐄𝐋𝐄 𝐂𝐇𝐀 𝐓𝐀𝐌𝐀𝐒𝐇𝐀 𝐋𝐀 𝐊𝐈𝐙𝐈𝐌𝐊𝐀𝐙𝐈, 𝐌𝐀𝐊𝐔𝐍𝐃𝐔𝐂𝐇𝐈, 𝐙𝐀𝐍𝐙𝐈𝐁𝐀𝐑

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza muziki na Msanii kutoka Uganda Jose Chameleone katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) lililofanyika, Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 14 Agosti, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar katika Kilele cha Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival), tarehe 14 Agosti, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali katika Kilele cha Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) lililofanyika, Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 14 Agosti, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi katika Kilele cha Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) lililofanyika, Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 14 Agosti, 2026.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Msanii kutoka Uganda Jose Chameleone katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) lililofanyika, Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 14 Agosti, 2026.
Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Kilele cha Tamasha la Usiku wa Kizimkazi (Kizimkazi Festival) lililofanyika, Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 14 Agosti, 2026.

No comments:

Post a Comment