WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA MABALOZI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 16 February 2026

WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA MABALOZI

 



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini Tanzania Mhe. Fahad Rashid Al-Marekhi, Februari 16, 2026, Jijini Dar ES Salaam. Lengo kuu la ziara hiyo lilikuwa kujadili maeneo ya ushirikiano kati ya Tanzania na Qatar katika suala la Uhifadhi na Utunzaji wa Mazingira. PICHA NA OFIS YA MAKAMU WA RAIS.

No comments:

Post a Comment