RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU WA ANTIGUA NA BARBUDA MHE. GASTONE BROWNE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 3 February 2026

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU WA ANTIGUA NA BARBUDA MHE. GASTONE BROWNE

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Antigua na Barbuda Mhe. Gastone Browne pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Antigua na Barbuda Mhe. Gastone Browne pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Pamoja na mambo mengine Viongozi hawa walikubaliana kushirikiana katika masuala mbalimbali yakiwemo kukuza utalii.

No comments:

Post a Comment