Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii (UN Tourism), Bi. Shaikha Nasser Al Nowais pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Rais Samia akutana na kuzungumza na Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii (UN Tourism), Bi. Shaikha Nasser Al Nowais.
WCF NA NIT WAUNGANA KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI
-
*Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma,
amesema kuwa ushirikiano kati ya WCF na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji
(NIT) ...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
No comments:
Post a Comment