MGOMBEA ADC ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 14 August 2025

MGOMBEA ADC ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI

 


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Mhe. Wilson Elias Mulumbe. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Shoka Khamis Juma (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 14, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

No comments:

Post a Comment