RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MJADALA WA KIMATAIFA WA NORMAN E. BORLAUNG, DES MOINES, NCHINI MAREKANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 31 October 2024

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MJADALA WA KIMATAIFA WA NORMAN E. BORLAUNG, DES MOINES, NCHINI MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao uliandaliwa na Taasisi ya World Food Foundation katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024. Kushoto ni Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina akimsikiliza. Rais Dkt. Samia ameelezea fursa mbalimbali za kilimo zinazopatikana Tanzania pamoja na hatua ya Serikali yake kuboresha Miundombinu ya usafirishaji ikiwemo Reli ya Kisasa (SGR) Bandari, masoko ya uhakika pamoja na mazingira mazuri kwa uwekezaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Rais wa Jamhuri ya Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio kando ya Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao uliandaliwa na Taasisi ya World Food Foundation katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024.

Viongozi pamoja na wadau mbalimbali wakiwa kwenye Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024. Malengo ya mjadala huo wa kimataifa ni kutafuta Suluhu ya changamoto ya upatikanaji wa chakula Duniani inayochochewa na mabadiliko ya tabianchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya kushiriki Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao uliandaliwa na Taasisi ya World Food Foundation katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024. Mkutano huo unaowakutanisha wadau mbalimbali wa kilimo una lengo la kutafuta suluhu ya changamoto ya upatikanaji wa chakula Duniani inayochochewa na mabadiliko ya tabianchi.

No comments:

Post a Comment