RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA, MAKAO MAKUU YA UNESCO, UFARANSA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 14 May 2024

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA, MAKAO MAKUU YA UNESCO, UFARANSA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika uliofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024. Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.

No comments:

Post a Comment