UZINDUZI WIKI YA MAJI - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 18 March 2024

UZINDUZI WIKI YA MAJI

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu,Wizara ya Maji (wa nne kushoto) akikata utepe kuzindua Wiki ya Maji,akimwakilisha Waziri wa Maji,Mhe. Jumaa Hamidu Aweso.  Uzinduzi wa Wiki ya Maji umefanyika katika Jengo jipya la Wizara ya Maji Mtumba Mjini Dodoma

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Wizara ya Maji, Wanyenda Kutta (watatu kushoto) akiongoza matembezi kwa watumishi wa Wizara ya Maji pamoja na Taasisi zake, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Wakala Wa Maji Na Usafi Wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Mfuko wa Maji Taifa wa Maji na wadau wa sekta ya maji  wakati wa matembezi na uzinduzi wa Wiki ya Maji katika jingo jipya la Wizara Mtumba jijini Dodoma


Watumishi wa Sekta ya Maji wakishiriki Matembezi ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya Maji leo machi 16,2024 katika Mji wa Serikali Mtumba. 

No comments:

Post a Comment