RAIS SAMIA AHUTUBIA MABALOZI NA WAWAKILISHI WA MASHIRIKA YA KIMATAIFA SHEREHE ZA MWAKA MPYA 2024. - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 7 February 2024

RAIS SAMIA AHUTUBIA MABALOZI NA WAWAKILISHI WA MASHIRIKA YA KIMATAIFA SHEREHE ZA MWAKA MPYA 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam

Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania  wakiwa pamoja na baadhi ya Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024

Mabalozi wanaowakilisha nchi zao  nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa kimya kwa dakika moja kumuombea Rais wa Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob wakati wa  Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024

No comments:

Post a Comment