BENKI YA NMB KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WADAU WA WANASHERIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 13 November 2023

BENKI YA NMB KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WADAU WA WANASHERIA

 

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dk. Pindi Chana (katikati) na mgeni rasmi katika mkutano uliowakutanisha wadau wa sekta ya sheria yaani wanasheria na Benki ya NMB wakiwa wameshikana mikono na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna (wa pili kushoto) pamoja na wageni meza kuu kuonesha ushirikiano kati ya panse hizo mbili.

Wakili na Mwakilishi wa viongozi wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Alex Mgongolwa akitoa salam za shukrani kwa uongpozi wa NMB kwa kuwatambua wadau wa sheria na kuwakutanisha pamoja kwa ajili ya kujenga ushirikiano na wadau hao jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Omary Said Shabaan akizungumza na wadau wa sheria katika mkutano uliowakutanisha wadau wa sekta ya sheria yaani wanasheria na Benki ya NMB kwa ajili ya kujenga ushirikiano na wadau hao jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Omary Said Shabaan (kushoto) akisisitiza jambo kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna (kulia) walipokutana katika mkutano uliowakutanisha wadau wa sekta ya sheria yaani wanasheria na Benki ya NMB kwa ajili ya kujenga ushirikiano na wadau hao jijini Dar es Salaam.


Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wadau wa sekta ya sheria yaani wanasheria na Benki ya NMB kwa ajili ya kujenga ushirikiano na wadau hao.

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Bw. Filbert Mponzi akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wadau wa sekta ya sheria yaani wanasheria na Benki ya NMB kwa ajili ya kujenga ushirikiano na wadau hao.

No comments:

Post a Comment