NAIBU WAZIRI UJENZI ENG. KASEKENYA AKAGUA BARABARA DAR KUANGALIA ATHIRI ZA MVUA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 13 November 2023

NAIBU WAZIRI UJENZI ENG. KASEKENYA AKAGUA BARABARA DAR KUANGALIA ATHIRI ZA MVUA

 

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng, Godfrey Kasekenya, akizungumza na wanahabari mara baada ya kukagua barabara jijini Dar es Salaam kufutia mvua zinanyonyesha na kuathiri miundombinu hiyo.



Naibu Waziri wa Ujenzi Eng, Godfrey Kasekenya, akisisitiza jambo kwa wanahabari mara baada ya kukagua barabara jijini Dar es Salaam kufutia mvua zinanyonyesha na kuathiri miundombinu hiyo.

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng, Godfrey Kasekenya, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw, Albert Chalamila, na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bw, Ludovick  Nduhiye  na Mbunge wa Kawe Mhe. Askofu, Josephat Gwajima wakiteta jambo walipokagua barabara jijini Dar es Salaam kufutia mvua zinanyonyesha na kuathiri miundombinu hiyo.

Mkutano kati ya Naibu Waziri wa Ujenzi Eng, Godfrey Kasekenya na wanahabari mara baada ya kukagua barabara jijini Dar es Salaam kufutia mvua zinanyonyesha na kuathiri miundombinu hiyo.

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng, Godfrey Kasekenya, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw, Albert Chalamila, na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bw, Ludovick  Nduhiye  na Mbunge wa Kawe Mhe. Askofu, Josephat Gwajima wakizungumza jambo walipokagua barabara jijini Dar es Salaam kufutia mvua zinanyonyesha na kuathiri miundombinu hiyo.

No comments:

Post a Comment