KIWANDA cha kutengeneza Marumaru cha KEDA kilichopo Chalinze kimetoa Boksi 1750 zenye thamani ya Shilingi Milioni 46 ikiwa ni mchango wao kwa shule za sekondari za Jakaya Mrisho Kikwete na Miono High School zilizopo katika halmashauri ya Chalinze.
Akiwashukuru wahisani hao, Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Ndugu Ridhiwani Kikwete amewahasa Wananchi kutunza Mbinu hiyo ili kudumisha shule hizo.
#KaziInaendelea #Keda #Elimu
No comments:
Post a Comment